“Story ya Aziz ilianza muda mrefu, wakati huo Yanga haishiriki katika michuano ya kimataifa lakini Simba wako kimataifa na walikuwa group moja na Asec Mimosas na Aziz akaja kucheza hapa Dar akafunga, Aziz akawa anatajawa sana na wakati anatajwa alitajwa kwa muktadha wa kwenda Simba.
“Unawezaje kumshawishi mchezaji ambaye anashiriki michuano ya kimataifa kuja kucheza kwenye timu ambayo haina rekodi ya kufanya vizuri kimataifa ?.
“Nilianza kumfuatilia Aziz nikatafuta namba zake nikazipata, nilishawahi kufunga safari hapa nikaenda mpaka Berkane, Morocco kwaajili ya kwenda kumuona Aziz akicheza kukutana nae na kujenga urafiki. “Baada ya ile mechi kati ya Berkane na Asec nilienda hadi hoteli ya kina Aziz, wakati naongea nao nikajiiba nikaingia kwenye chumba cha Aziz Ki tukazungumza nikamwambia nina interest na wewe akaniambia umesafiri kutoka Tanzania hadi hapa kwaajili yangu ? Nikamwambia ndio, palepale nikapata na namba ya Mama yake. “Nikaanza kuwasiliana na Mama yake nikamwambia namtaka kijana wako nikaenda tena lvory Coast nikapeleka Ofa yangu, ofa yangu ilikuwa ndogo kuliko ofa ambayo klabu za Sudan na Tanzania walikuwa wamepeleka kwa Aziz hapo sasa ndio tukaanza kuongea nikamwambia Mama Aziz nitamtunza Aziz kama mzazi,”
Rais wa Yanga Sc, Mhandisi, Hersi Said akizungumza kwenye kipindi cha #baolaasubuhi
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







