MABINGWA wa Ligi kuu na Kombe la Shirikisho Yanga SC wametaja bajeti ya klabu hyio kwa msmu uliopita, ambapo kwa msimu ujao Bajeti yao wanatarajia kuwa ni Bilioni 24.5.
Katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Yanga, kila kitu kinawekwa wazi na mipago ya msimu ujao ikiendelea kupangwa huku upande wa pili, Simba SC mamb ndiyo kwanza yanakuwa meusi, migogoro kila kukicha hii inatoa taswira mbaya sana kwa klabu hiyo iliyopoteana kwa misimu mitatu sasa.
MCHANGANUO WA MAPATO YA YANGA MSIMU 2023/24
Udhamini na haki za matangazao bilioni 10.19
Mapato mlangoni bilioni 1
Ada za Wanachama milioni 613
Zawadi za ushindi bilioni 3.9
Mapato mengine bilioni 5
Jumla ya mapato ni Bilioni 21
Bajeti ya Msimu ujao ni Bilioni 24.5 ambapo imeongezeka asilimia kumi tofauti na Msimu uliopita ambayo ni Bilioni 22.
Kwa dalili hizi ambazo Yanga wameanza kunesha, huenda wakafanikiwa zaidi ndani ya uwanja kwa msimu ujao, kiusajili na kutwaa mataji ya ndani na huenda hata Kimataifa wakafanya vizuri zaidi, japo kwenye mpira sio pesa tuinafanya kazi bali na mipango thabiti, kitu ambacho Yanga wanacho.
Upande wa pili Simba wao wamendelea kuvutana mashati na hawajui mchawi wao ni nani, baadhi ya wananchama wanasema ni muwekezaji, huku wengine wakisema ni Viongozi wa klabu hiyo, hii haitoi mwanga wa matumaini kwa Simba ambaye alishapoteana misimu mitatu nyuma.
Kama mambo yataendelea kwenda kama hivi, basi Simba itazidi kudidimia kama sio kuzama kabisa baharini
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







