BAADHI ya Wananchi wakihudhuria futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohameed Shein, akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja katika futari iliofanyika nyumbani kwake Kibele Unguja, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia Dua, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleoh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iliofanyika Kibele Wilaya ya Kati Unguja, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Soud Said Soud, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Sleyum Khamis mkaazi wa Kibele Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizikwa kwa Futari aaliuowaandalia Wananchi wa Kibele iliofanyika nyumbani kwake Kibele Mkoa wa Kusini Unguja. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR).
from CCM Blog http://bit.ly/30hRNMb
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33











