DC Mwema: Uhifadhi MAKAME-WMA umeboresha maisha ya Wananchi Kiteto.

Kila asubuhi, mwanadamu huamka na matumaini mapya, Wahenga walisema kupanga ni kuchagua, maneno hayo ya Wahenga yamejidhihirisha katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Makame (Makame WMA) iliyopo Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara. Wananchi wa Makame WMA wamechagua njia ya kulinda rasilimali za wanyamapori na mazingira yake na kuzigeuza kuwa chanzo cha maendeleo yanayogusa … Continue reading DC Mwema: Uhifadhi MAKAME-WMA umeboresha maisha ya Wananchi Kiteto.