Akiwa hapo Kinole, mbali ya kuzungumza na kuwasalimia wananchi, Ndugu Chongolo aliwaongoza wajumbe wenzake hao wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii ambapo moja ya mambo ambayo yamewafurahisha wananchi ni kuona katibu mkuu huyo ameshiuriki chakula cha mchana pamoja na wananchi hao wengi wao wakibaki wakisahangaa bila kuamini kwani wamesema walijua kwa ajili ya nafasi yake walishazoea viongozi wengi hawashiriki chakula katika mazingira ya watu wa kawaida na kusema Chongolo ameonyesha uhalisia wa kuwa kiongozi asiye na makuu,mchapakazi na mwenye kujali.
Pia katika tukio hilo katibu wa itikadi na uenezi Ndugu Sophia Mjema alisimama na kuingia jikoni kuwasaidia wakina mama waliokuwa katika kazi yao ya kupika kisha kuwasaidia kusonga ugali na kusema alikosa nafasi ya kushiriki jambo kama hilo tangu muda mrefu lakini sasa ameingia katika utumishi wa chama hivyo kwake ni furaha kupika na kuwasaidia mama lishe hao huku akisisitiza yeye ni kiongozi hivyo hana budi kuonyesha ushiriki wake katika shughuli za kijamii.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










