Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Dodoma chini ya Mwenyekiti Ndg. Alhaj Adam Kimbisa Jijini Dodoma tarehe 19 Disemba 2023 ilikutana kwa kikao cha kawaida cha kujadili hali ya kisiasa ,uchumi na mambo mbalimbali yanayohusu ustawi ndani ya Mkoa huo kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2023.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kikao hicho Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Dodoma Ndg.Jawadu Mohamed amesema Halmashauri hiyo imeelekeza kuwa Watumishi wote wa serikali ndani ya Mkoa huo kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, kusikiliza kero pamoja na kutotoa lugha za maudhi na matusi kwa wananchi.
” Halmashauri kuu imeelekeza kwa Watumishi wote wa serikali ndani ya Mkoa wa Dodoma kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, kusikiliza kero lakini kutotoa lugha za maudhi na matusi kwa wananchi ” Amesema Ndg.Mohamed
Ndg.Mohamed amesema Halmashauri hiyo imeazimia kwa kauli moja ya kumpongeza Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya maendeleo ambayo amekuwa akifanya ndani ya Mkoa ya kuendelea kustawisha Makao Makuu ya nchi.
Pia,imetoa Pongezi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa (Mb) kwa kupokea maelekezo kutoka kwa Mhe.Raisi Dkt.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa ya kushughulikia migogoro ya ardhi ndani ya Mkoa wa Dodoma kupitia kliniki maalumu ya kutatua changamoto hizo.
Kadhalika,Halmashauri Kuu imetoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (pichani) Mhe.Rosemary Senyamule kwa kuendelea kusimamia na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa kuzunguka kwenye miradi na kufanya ukaguzi
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









