
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2025 (ACSEE Results) kupitia tovuti yao rasmi tu baada ya kukamilisha uchakataji wa matokeo. Kwa mwaka huu, wanafunzi wengi, wazazi, walimu na wadau wa elimu wanatafuta kwa hamu taarifa hizi mtandaoni kupitia vichwa vya habari
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YOTE YA FORM SIX KWA WMAKA 2024/2025






