Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano
Zari na Diamond katika kipindi chao cha mahusiano kilichodaiwa kuanza Novemba 2014 wameweza kupata watoto wawili, wa kike anaitwa Tiffah na wa kiume anaitwa Nillan