Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jerry William Silaa akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Familia yake (Mke wake Bi Mariam Bakari Silaa na Mwanaye Simba Jerry Silaa) tayari kuingia Bungeni wakati wa uwasilishaji Bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2024/2025 Iliyowasilishwa lei Bungeni Jijini Dodoma ambapo picha ya Mhe.Silaa na familia ake imekuwa kivutio kikubwa kweney vyombo mbalimbali vya habari leo nchini Tanzania.
Masama Blog inamtakia Kila la Heri Mhe.Silaa katika uwasilisho wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







