BREAKING: Mbwana Samatta ajiunga na Le Havre ya Ufaransa

Masama BlogKIMATAIFAMICHEZO5 months ago293 Views

BREAKING: Mbwana Samatta ajiunga na Le Havre ya Ufaransa

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ameandika rekodi mpya baada ya kujiunga na Le Havre ya Ligi Kuu Ufaransa Ligue1.

Mbwana Samatta ambaye ameandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligue1 msimu wa 2025/26 anajiunga na Le Havre kama Mchezaji huru baada ya kumaliza Mkataba wake wa miaka miwili na PAOK ya Ugiriki.

Le Havre inakuwa Klabu yake ya sita Samatta kucheza soka katika ardhi ya Ulaya baada ya KRC Genk na Royal Antwerp za Ubelgiji, Aston Villa ya England, Fenerbahce ya Uturuki na PAOK ya Ugiriki.

Imewekwa na Masama Blog

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.