Azam FC wavunja Ukimya,Wampa FeiToto Mkataba Mpya huu Mnono

Masama BlogKITAIFAMICHEZO3 months ago134 Views

Azam FC wavunja Ukimya,Wampa FeiToto Mkataba Mpya huu Mnono

Azam wameshawasilisha mkataba mpya wa kufuru wa miaka 3 ‘Bumper Contract’ kwa kiungo wao Feisal Salum.

Mshahara, Milioni 70 kwa mwezi (Milioni 50 take home, Milioni 20 NSSF)
Signing-Fee, Dollar 200,000 kila mwaka kwa muda wa miaka 3 (Jumla Dola 600,000)
Ubalozi kwenye Makampuni ya Azam, ambapo atapokea Milioni 200 kila mwaka.
Nyumba Masaki na Gari mpya.
Package yote hiyo kwa muda wa miaka 3 inafika Shilingi Bilioni 5

Anasubiriwa Feisal tu kufanya maamuzi juu ya Contract Proposal hiyo na uwezekano wa kuusaini mkataba huo ni mkubwa.

Imeandikwa Haatimabdul mchambuzi kutoka WASAFI MEDIA

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...