ATEBA Atemwa na Simba Akiwa Pre-Season, Awaaga Wenzake

Usiku huu Ateba ameaga na kuondoka kwenya kambi ya Simba pale Misri, It’s Over kati ya Simba na Ateba Naby Camara amechukua nafasi ya Ateba kwenye orodha ya wachezaji wa kigeni, Ikumbukwe dirisha la usajili la kimataifa linafungwa leo saa 6 usiku Taarifa za kiutondoti yakinifu zinaeleza kuwa mshambuliaji Lionel Ateba tayari ametemwa kwenye kikosi … Continue reading ATEBA Atemwa na Simba Akiwa Pre-Season, Awaaga Wenzake