
Kushoto ni Juma Nyangi na kulia ni Gadiel Michael
Klabu ya soka ya Alliance FC, ya jijini Mwanza imemwadhibu mchezaji wake Juma Nyangi kwa kitendo chake cha kumshika makaliko mchezaji wa Yanga Gadiel Michael katika mchezo wa ligi kuu, Machi 2, 2019.
Akiongea leo baada ya kikao cha kamati ya nidhamu ya klabu hiyo, Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Alliance, Yusuph Budodi amesema wameamua kumkata mshahara.
”Kamati imetazama kwa kina na kuamua kutompa mshahara wa mwezi mmoja ili iwe fundisho kwa wengine na kwasababu amekiri hatukuona kama ni vyema kumsimamisha mechi au vinginevyo lakini kukosa mshahara pia ni jambo kubwa”, amesema.
Awali Juma Nyangi aliitwa kwenye kamati ya nidhamu ya klabu hiyo na kuhojiwa kabla ya kamati hiyo kufikia maamuzi.
Kwa upande wake Juma Nyangi, amesema ameumizwa na adhabu hiyo na hatorudia tena huku akiweka wazi kuwa hakukusudia kufanya hivyo ila ilitokea kwasababu ya presha ya mchezo.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2NMeHVP
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





