
Msanii wa filamu bongo Rammy Galis ambaye alishawahi kuwa kwenye mahusiano na Agnes Masogange aliyefariki hapo jana, ametoa siri ambayo wengi walikuwa hawaijui kuhusu maisha ya Agnes.
Kwenye ukurasa wake wa instagram Rammy Galis ameandika ujumbe akionesha kuhuzunishwa na kifo cha mrembo huyo ambaye alibarikiwa na Muumba kwa urembo wake, na kusema kwamba walipokuwa kwenye mahusiano aliwahi kucheza filamu yake ambayo kama ilitabiri kifo chake, kwa kuigiza kufa mwisho wa kisa hiko kilichopewa jina la ‘hukumu’.
“Tulikesha usiku na mchana ili ucheze filamu yetu kwa hisia, ukasema hii iwe kumbukumbu yako kama niliwahii hata kwenye kazi zako kukusaidia, sasa kwanini filamu yetu tulitunga jina liitwe #hukumu? ilikuwaje story ya filamu mwisho unafariki? kwani tulikua tunatungia iwe kweli hukumu yako? Mungu ndio hakimu wa viumbe vyote katika dunia , umeondoka ghafla sanaa , na hii pia ni funzo umeniachia”, ameandika Rammy Galis akiambatanisha picha ya wawili hao pamoja.
Kutokana na kauli hii ya Rammy Galis, tunaweza sema Masogange naye amepitia kifo ambacho muigizaji nguli wa filamu za bongo Steven Kanumba alifariki, kwa kuigiza kifo kwenye filamu yake ya mwisho, na kweli kabla ya filamu kutoka alipatwa na mauti.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







