Ahmedy Ally wa Simba Akiri ‘Tumehadhibiwa Mpizani Katuzidi’..Soma alichosema hapa

2 years ago139 Views

 

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekiri kwamba kwenye mchezo wa Watani wa jadi leo Simba imezidiwa na Mpinzani wake Yanga SC na kuadhibiwa kwa bao tano kwa moja.
Ahmed amesema “Leo tumezidiwa na Mpinzani wetu na hatimaye tumeadhibiwa, hakuna unachoweza kusema zaidi ya kukiri udhaifu kwa upande wetu”

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.