
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Maj. Jenerali Anselm Shigongo Bahati kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri, Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Mohamed Abdallah Mtonga kuwa Balozi waTanzania Nchini Abu dhabi (UAE) , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijiniDodoma. Novemba 23, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Dkt. Jilly Elibariki Maleko kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Burundi , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Jestas Abouk Nyamanga kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Ali Jabir Mwadini kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Saud Arabia , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba23, 2019.

Mabalozi wapya watia sahihi hati za kiapo cha Maadili kwa
Watumishi wa Umma kilichoongozwa na kamshna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela mara baada kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli . Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi wa John Kijazi, Waziri wa Mamboya nje Profesa Palamagamba Kabudi ,Waziri wa TAMISEMI Seleman Jaffo, Waziriwa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi wakwanza kushoto pamoja na Mabalozi wapya mara baada ya tukio la uapisho Ikulu chamwino jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwagawia Vitafunwa wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho ya Mabalozi iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019.

Mabalozi wapya wakila kiapo cha Maadili kwa Watumishi wa Umma
kilichoongozwa na kamshna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela mara baada kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli . Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza mara baada kuwapisha Mabalozi watano walioapishwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi za Burundi, Abu Dhabi (UAE) ,Ubelgiji, Misri pamoja na Saud Arabia katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2s6zw7G
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







