Baadhi ya Walimbwende wa 2013 na 2014 walioshiriki katika Shindano waliohudhulia semina ya waandano la Miss Utalii.

Rais wa shindano miss Utalii, Gideon Chipungahelo akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wahariri na waandishi wa habari, katika hoteli ya kitalii ya Jaromax iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam. Amesema kuwa Shindano la Mlimbwende wa utalii tukitaka mabadiliko katika urembo ni lazima kufanya mambo mazuri zaidi ya urembo na kuwawezesha washiriki kuwa na maarifa mengi ya masuala ya Utalii.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Shindano la kutafuta mlimwende katika utalii (Miss Tourism), katika Hoteli ya Kitalii ya Jaromax iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam.
Afisa sanaa wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Bona Masenge akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wahariri na waandishi wa vyomo vya haari jijini Dar es Salaam katika hoteli ya kitalii ya Jaromax iliyopo Mazese jijini Dar es Salaam.
Rais wa Sanaa za Maonesho, Wilium Chitanda akizungumza wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wahariri na waandishi wa vyombo vya habari hapa nchini kwaajili ya kuandika habari za Miss Utalii kwa uelewa zaidi. Semina hiyo imefanyika katika Hoteli ya Kitalii ya Jaromax iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam.
Rais wa shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania(TAFCA), Adrian Nyangamawe akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari katika habari za mlimbwende wa Utalii (Miss Tourism) katika semina iliyofanyika hoteli ya Kitalii ya Jaromax iliyopo Mazese jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Walimbwende wa 2013 na 2014 walioshiriki katika Shindano waliohudhulia semina ya waandano la Miss Utalii.
Moja ya watoa Mada katika Semina ya kuwajengea uwezo wahariri na waandishi wa habari.
MCHAKATO wa usaili wa kumtafuta mlimbwende wa urembo katika utalii (Miss Tourism) kuanza Desemba, 2019.
Akizungumza na wakati wa semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari katika hoteli ya kitalii ya Jaromax iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam, Afisa sanaa wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Bona Masenge, amesema kuwa shindano la Mlimbwende katika utalii litaambatana na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini.
Bona amesema kuwa BASATA imewaamini waandaaji wa Shindano la Miss utalii kwani kunavigezo mbalimbali ambavyo wamekidhi vya kikanuni, kisheria na kwaajili ya kuandaa shindano hilo.
“Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) linahusika na mashindano haya kwa ukaribu ili kuhakikisha waandaaji wa mashindano haya wanakidhi vigezo na kufata taratibu na sheria zilizowekwa na Baraza”.
Amesema Bona
Bona amesema kuwa Shindano la Mlimbwende wa Utalii limeweza kuwapa ajira za kudumu vijana kwa kuinua vipaji vya vijana wengi na kukuza utalii hapa nchini.
“Mashindano ya mlimbwende wa Utalii yameweza kuinua vipaji kwa washiriki na baadhi wameweza kupata ajira za kudumu na yameweza kukuza utalii kitaifa na kimataifa”.
Kwa upande wake Rais wa shindano la miss Utalii, Gideon Chipungahelo amesema kuwa Shindano la Mlimbwende wa utalii tukitaka mabadiliko katika urembo ni lazima kufanya mambo mazuri zaidi ya urembo na kuwawezesha washiriki kuwa na maarifa mengi ya masuala ya Utalii.
Amesema watakaohitaji kushiriki Mahindano hayo wakae mkao wa kula kwani tunata yanayotakiwa ni Mapinduzi Makuwa katika tasnia nchini.
“Miss yourism Tanzania (Mlimbwende wa utalii Tanzania) historia yake kabla na baada ya uhuru shindano la kwanza la kupata mshindi wa dunia katika ulimbwende wa Utalii.
Amesema Chipunagahelo.
Hata hivyo mchakato huo wa kutafuta Mlimbwende katika utalii utachukua zaidi ya Miezi sita ili kuwapa muda majaji kufanya kazi ya kutafuta Mrembo anayekidhi vigezo vyote na atakayetuwakilisha duniani na kutuletea taji la dunia hapa nchini.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2R0O6Z3
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33















