Mbunge wa Mafinga Cosato Chumi amewapongeza Wanachama wa Yanga Tawi la Mafinga, maarufu kama Vanyalutogo kwa juhudi za kutatua changamoto katika jamii.
Chumi amesema kitendo walichokifanya ni uwanamichezo uliotukuka ambapo kwanza walianza na tanki la.maji na sasa wameleta pampu za kuvutia maji.
“Hongereni sana Yanga Mafinga, huu ni uwanamichezo uliotukuka, kwanza mlianza na Tanki la maji, lakini tena mkajiongeza mumekabidhi na pump. Huu ni uzalendo wa kimichezo.”amesema Chumi.
Tawi hilo la Mafinga limetoa msaada wa Tanki la Maji na Mashine ya kuvuta maji (Water Pump) kwa Shule ya Sekondari ya Iyongole.
Wanachama hao wakiongozwa na Mwenyekiti wao tawi Gift Mwachang’a wamwtoa vifaa hivyo kwa wanafunzi ili kiutatua changamoto ya maji kwenye shule hiyo.
“Vifaa hivi vyote vimetolewa na Wanayanga wenyewe, hii ni Timu ya Wananchi na tunawafikia Wananchi kwa namna mbalimbali,” Mwachang’a.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2KWCEtB
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









