Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza alipowasili katika viwanja vya Hazina kwa ajili ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akisindikizwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. (PICHA NA IDARA YA HABARI –MAELEZO)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akionyesha nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu alilokabidhiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Jarida hilo ni toleo maalum linaloelezea mafanikio ya ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.Kulia ni Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza mara baada ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Jarida hilo ni toleo maalum linaloelezea mafanikio ya ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.Kulia ni Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa hafla ya ufunguzi awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma..
Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi akitoa salaam za TAGCO mbele ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo hayo leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi na Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidifrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OHG9X4
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








