Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la Babawatoto, Mgunga Mwamnyenyelwa akizungumza katika mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili watoto wa mitaani uliowahusisha wadau wa kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wa mitaani uliofanyika kwenye Ukumbu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam hivi karibuni. Mkutano huo uliandaliwa na Shirika lisilo la kiserikali la Babawatoto.
Mkuu wa kituo cha Polisi Magomeni, OCS Laurent Idowa akitoa maelezo ya namna ya kukabiliana na changamoto za kijinisa zinazowakabili watoto wa mitaani katika mkutano wa wadau wa kujadili unyanyasi wa kijinsia kwa watoto wa mitaani, uliofanyika kwenye Ukumbu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la Babawatoto, Mgunga Mwamnyenyelwa (kulia) akiwa pamoja na washiriki wengine wakati wasikikiza maoni ya wadau wakati wa mkutano wa kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wa mitaani uliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Afisa wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia kanda maalumu, Mudathir Kato akitoa maelezo wakati wa mkutano wa wadau ww kujadili upigaji vita unyanyasaji wa kinjisia kwa watoto wa mitaani huo ulioratibiwa na taasisi ya Babawatoto organization hivi karibuni.
Picha ya pamoja ya wadau waliohudhira mkutano wa wadau wa kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wa mitaani uliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2sGcXXJ
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33











