mcheza Golf ya Stephen Chuwalo, wa Lugalo akicheza wakati wa Mashindano ya Ndani ya Mwezi yaliyofanyika katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Zantel anayemtazama ni mchezaji mwenzie,Nathan Mpangala. Picha na luteni Selemani Semunyu.
Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania Sakyi Opoku (watatu kulia) wakiangalia mpira na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, wa kni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi na Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyu
Mchezaji wa timu ya Golf ya Lugalo Khadija Selemani akipiga Mpira wakati wa mashindano golf ya mwezi yaliyoandaliwa na Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam. Pich na Luteni Selemani Semunyu.
Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania (MFS) Sakyi Opoku (wapili kulia) wakiandika matokeo na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, anayeandika ni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi wa Kampuni ya C.A.O Agent Group na mchezaji wa timu ya Golf ya benki ya NMB Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyu

Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania Sakyi Opoku (watatu kulia) wakiangalia mpira na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, wa kni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi na Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyu

Mchezaji wa timu ya Golf ya Lugalo Khadija Selemani akipiga Mpira wakati wa mashindano golf ya mwezi yaliyoandaliwa na Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam. Pich na Luteni Selemani Semunyu.
Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania (MFS) Sakyi Opoku (wapili kulia) wakiandika matokeo na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, anayeandika ni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi wa Kampuni ya C.A.O Agent Group na mchezaji wa timu ya Golf ya benki ya NMB Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyufrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/33ZZ6IE
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







