“Tutakutana hapa kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kutulinda mwaka mzima, tutaimba na kusifu sambamba na kupata neno la uzima lakini pia tutapata nafasi ya kusema neno kwa ajili ya nchi yetu.
Amesema anatamani kila mmoja awe sehemu ya tamasha hilo na sehemu ya ibada hio kama ambavyo wakenya wamekuja kujumuika hapa nchini.
“Mwenyezi Mungu alituumba ili tumuabudu kwani kumuimbia na kumsifu hata wanyama na mimea inafanya hivyo, ndio maana hatuchukulii kawaida kwa sababu imepangwa. Amesema Mwangosi.
Kwa Upande wake Mwimbaji kutoka Nchini Kenya, Sarah Mwangi,amesema unaweza kumwabudu Mungu kwa Kuimba, Kwa maombi, kwa kunena na kwakutabiri. Hivyo kila mmoja anakaribishwa katika viwanja vya Tanganyika Packers.
“Ulimi unanguvu wa kunena mamo mazuri ambayo unataka kumlilia Mungu”.
Tamasha hilo linatarajiwa kuanza majira ya saa 3 usiku hadi alfajiri ya kuamkia Desemba 14. Wahudumu wanaotarajiwa kuhudumu ni pamoja na Mwandaaji Paul Mwangosi, Sarah Mwangi Maarufu kama Sarah K.(Kenya) na Boaz Danken.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/36oFMGE
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










