Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma ambao wamelazwa kwa kile kinachoelezwa kula chakula chenye sumu.
Watu zaidi ya 37 wamelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) kwa ugonjwa wa kuhara na kutapika baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu kwenye msiba eneo la Mtumba nje kidogo ya Jiji la Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi tayari kashafika hospitalini hapo na amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI KUHUSU TUKIO HILI KADIRI YA ZITAKAVYOPATIKANA.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/34m53jt
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







