Shindano la Urembo Dunia Miss World 2019, limefanyika usiku wa kuamkia Desemba 15, na Mrembo kutoka nchi ya Jamaica Toni-Ann Singh ametwaa taji hilo.
Toni-Ann ameitoa kimasomaso nchi yake mara baada ya kutwaa taji la Urembo wa Dunia katika mashindano ya kumsaka mlimbwende wa Dunia (Miss World), yaliyofanyika Jijini London, nchini Uingereza.
Shindano hilo ambalo jana ilikuwa ni mara yake ya 69 kufanyika, lilikutanisha warembo kutoka Mataifa mbalimbali duniani, ambapo nchi ya Tanzania iliwakilishwa na Mrembo Sylvia Sebastian Bebwa, ambaye yeye kwa juma lililopita aliingia katika 20 bora ya warembo wenye vipaji, baada ya yeye kuonesha kipaji cha kucheza ‘Robot Dance’.
Mbali na Urembo, Mlimbwende huyo wa Dunia anapenda kutoa Elimu ya afya ya akili na matarajio yake ni kuwa Daktari na taji lake amelipokea kutoka kwa Venessa Ponce De Leon, Mrembo kutoka nchini Mexico alitwaa taji hilo mwaka 2018.
Katika mashindano hayo mshindi wa pili alikuwa mrembo kutoka Ufaransa, Ophely Mezino, wa tatu ni Suman Rao kutokea nchini India
Warembo waliofanikiwa kuingia 12 bora ya Miss World 2019 Top
Kenya, Nigeria , Brazil ,Mexico ,India ,Nepal ,Philippines , Vietnam ,Jamaica, France ,Russia na Cook Islands
Miss World 2019 Toni-Ann Singh akiwa na wazazi wake baada ya kutwaa taji la urembo
Miss World 2019 Toni-Ann Singh akiwa katikati ya mshindi wa Pili Kutoka Ufaransa Ophley Mezino (Kushoto) na Sumao Rao kutoka India
Kumi 10 ya Miss World 2019
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2rNREDB
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









