Shtakala pili lilikua ni kuzuia shughuli za bunge la Kongresi kwa sababu rais anadaiwa kukataa kutoa ushirikiano katika uchunguzi dhidi yake, kwa kukataa kutoa nyaraka za ushahidi na kuwazuia wasaidizi wake kutoa ushahidi katika uchunguzi huo.
Kura katika kipengele cha kwanza cha uchunguzi, cha kutumia vibaya mamlaka zilikuwa 230 ndiyo na 197 hapana na kipengele cha pili cha kuzuwia utendaji wa Kongresi zikawa 229 ndiyo na 198 hapana.
Kuchuguzwa kwa Trump kunamuweka katika nafasi za marais wengine wawili tu katika historia ya taifa hilo Andrew Johnson na Bill Clinton na sasa Bunge la Seneti litaendesha kesi juu ya urais wake.
Hata hivyo chama cha Republican kina wawakilishi wengi katika Bunge la Seneti na hivyo anatarajiwa kushinda kesi hiyo na kusalia madarakani.
Spika wa Bunge la Wawakilishi nchini Marekani, Nancy Pelosi amefafanua kuwa hatopeleka waraka uliopitishwa kumuondoa Rais Donald Trump madarakani hii leo kwenye Bunge la Seneti, mpaka pale viongozi wa juu wa Seneti watakaporuhusu hatua hiyo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2EwPrz5
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







