Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Mkali wa R n B nchini Benard Paul ‘Ben Pol’ ametoa zawadi ya Krismasi kwa mashabiki wake baada ya kuachia kibao kipya kinachoitwa Sikukuu.
Ben Pol ameachia nyimbi hiyo mapema wiki hii ikiwa ni maalumu kwa mashabiki wake na ukiwa ni wimbo maalumu wa sikukuu.
Kwa upande Ben Pol amesema, ameamua kuutoa wimbo huu ukiwa ni kama zawadi ya sikukuu kwa mashabiki zake ili uweze kuwaburudisha katika kipindi chote cha Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya.
Amesema, wimbo huo ameutengeneza kwa Producer Tiddy Hotter Kwenye studio za One Love Records huku upande wa Video akisimama mkongwe Adam Juma.
“Wimbo huu ww nimeupa jina jina la sikukuu kwakuwa ni zawadi kwa mashabiki zangu, na jana rasmi niliweza kuuachia Audio na Video, zote kwa pamoja,”amesema
Aidha, Ben Pol amesema anaamini mashabiki wake wataupokea vyema wimbo wake huu mpya alioutoa mahususi kwa ajili yao.
Msanii huyo, anayeimba miondoko ya R n B amekuwa katika muendelezo mzuri wa Kisanii baada ya hivi karibuni aliweza kushirikishwa wimbo wa Nipokeeni ulioimbwa ba Chid Benz, huku kwa upande wake nyimbo zake za Wapo na Sana bado zikiendelea kufanya vizuri.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2EJqIaN
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







