Mtume Paul Toritseju kutoka Nigeria (kushoto) Mchungaji Dkt. Sako Mayrick wakiongoza maombi katika semina ya uponyaji inayoendelea leo Success Chapel Jengo la Ushirika Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mtume Paul Toritseju kutoka Nigeria, akimuombea Anastazia Raphael.
Mtume Paul Toritseju kutoka Nigeria, akimuombea Jackson Juma.
Maombi yakiendelea.
Mtume Paul Toritseju kutoka Nigeria, akimuombea mtoto.
Maombi yakiendelea.
Na Dotto Mwaibale
VIJANA mbalimbali wameendelea kujitojeza kwa wingi katika Semina ya uponyaji inayofanyika Success Chapel Jengo la Ushirika Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Semina hiyo ya siku tatu ambayo itafikia tamati leo, inaongozwa na Mtume Paul Toritseju kutoka Nigeria kwa kushirikiana na Mchungaji mwenyeji Dkt. Sako Mayrick.
Akizungumzia kuhusu semina hiyo Dkt.Mayrick alisema ni muhimu sana kwa vijana kwani inamafundisho mengi ya uponyaji.
Alisema katika senina hiyo washiriki wanampokea Yesu Kristo pamoja na uponyaji wa magonjwa mbalimbali, amani ya moyo, ushindi wa dhambi, ushirikina, ulozi, nuksi, mikosi na laana katika maisha.
“Katika semina hiyo unapokea ulinzi wa Mungu katika maisha yako” alisema Mchungaji Mayrick.
Mchungaji Mayrick alitumia nafasi hiyo kuwaalika watu mbalimbali kufika katika siku ya mwisho ya semina na kuwa kwa kesho Jumamosi kutakuwa na semina ya ndoa ambayo itaanza saa 2:30 asubuhi hadi saa 8 mchana.
Alisema katika semina hiyo mada mbalimbali zitatolewa na wachungaji wenye uzoefu mkubwa hivyo watu wote wanakaribishwa na kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu namba 0758531973.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/38XpVkD
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












