
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia mazoezi ya vitendo ya baadhi ya askari wa Jeshi Usu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) waliohitimu mafunzo ya utayari wa jeshi hilo katika eneo la Fort Ikoma Serengeti, mkoani Mara.
PICHA/ Aron Msigwa – WMU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili katika eneo la Fort Ikoma ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokea heshima ya kijeshi kutoka askari wa Jeshi Usu mara baada ya kuwasili katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua gwaride la heshima la askari wa Jeshi Usu waliohitimu mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara. 

Gwaride la ukakamavu la askari wa Jeshi Usu waliohitimu mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) likipita mbele Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) eneo la Fort Ikoma Serengeti mkoani Mara.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/34LSiPl
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





