LINDA BEZUIDENHOUT COUTURE YA MTANZANIA ANAEISHI ATLANTA MAREKANI IMEWEKA IMEWEKA REKODI WEEKEND ILIOPITA JIJINI ATLANTA KWENYE HAFLA YA HARAMBEE KUCHANGIA ELIM U IJULIKANAYO MAKA ATLANTA MAYORS BALL.
MAYOR WA ATLANTA KEISHA LANCE BOTTOMS NA MAMA YAKE SYLVIA BOTTOMS WALIENDA KWENYE DUKA LA LB COUTURE KUNUNUA NGUO NA NDIPO LINDA ALIVOPATA FURSA YA KUMVISHA MAYOR WA ATLANTA NA MAMA YAKE.
KWENYE PICHA ZIFUATAZO KUNA BAADHI YA MA-STAR WALIJITOKEZA KWENYE HAFLA HIYO YA HADHI KUBWA WAKIWA NA MAVAZI YA LINDA BEZUIDENHOUT COUTURE .
Mstahiki Meya wa jiji la Atlanta Keisha Lance Bottoms na mumewe Cedric Bottoms wakiwasili kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi Atrium wa hoteli ya Atlanta Marriot Marquis, jijini Atlanta, Marekani. Gauni alilovaa limetengenezwa na Mtanzania Linda Bezuidenhot
![]() |
| Mstahiki Meya wa jiji la Atlanta Keisha Lance Bottoms na mumewe wakiwasili kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi Atrium wa hoteli ya Atlanta Marriot Marquis, jijini Atlanta, Marekani. |
![]() |
| Mstahiki Meya wa jiji la Atlanta Keisha Lance Bottoms na mumewe wakiwasili kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi Atrium wa hoteli ya Atlanta Marriot Marquis, jijini Atlanta, Marekani. |
![]() |
| Mama wa Meya wa Atlanta Sylvia Robinson nae alivalishwa na Linda |
Linda akiwa na mwanasiasa mkongwe Andrew Young
Linda akiwa VIP reception na mteja wake GIZELLE BRYANT wa kipindi cha House Wives of Potomac
Linda akiwa VIP reception na mteja wake GIZELLE BRYANT wa kipindi cha House Wives of Potomac na wengine
Linda akiwa VIP reception akihojiwa
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2t8svDK
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33




















