RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika kijiji cha kinyasini kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Mabodi akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Mradi huo wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
NAIBU Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Exim ya Korea Ndg.Kang Sangjin akitowa salamu za Kores Eximbank wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji unaojengwa na Kampuni ya Kolon –Hansol Jv kutoka nchini Korea.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZIKxJf
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





















