Na.Khadija seif, Michuzi TV
KAMPUNI ya Startimes imepata nafasi na kibali cha kurusha Mashindano ya kombe la FA(Emirates cup) na ngao ya jamiii moja kwa moja kutoka nchini uingereza.
Akizungumza na waandishi wahabari Meneja Masoko wa Kampuni hiyo David Malisa amesema imewasogezea wapenzi wa mpira karibu na Mashindano hayo hayo taruka mubashara kupitia ving’amuzi vyao kwa bei nafuu.
“Mashindano hayo yataruka mubashara kwa lugha ya kiswahili hivyo tumefungua mwaka kwa mambo mazuri na mengi mazuri yatakuja kupitia King’amuzi cha Startimes,” Hata hivyo amefafanua zaidi kuwa watanzania wengi ni wapenzi wa mpira wa miguu hivyo basi wamezingatia katika kuhakikisha wateja wanapata burudani ya mpira ya michuano ya kimataifa kama coppa italia na bundesliga na ligi za ulaya Kama UEFA na Euro 2020. “Kombe Hilo la Emirates FA raundi ya 3 yataanza kurushwa kuanzia januari 4 mwaka huu ,”
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZRrzjr
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







