Ofisa Mwandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo Tandahimba Said Msomoka akisoma hotuba ya ufunguzi wa semina ya mafunzo ya uandikishaji .
Ofisa Mwandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo Tandahimba Said Msomoka akimsikiliza Ofisa Mwandikishaji
Afisa Mwandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Tandahimba Said Msomoka, amewataka Maafisa Waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi,bidii na moyo wa kujituma ili kufanikisha zoezi hilo kwa ufanisi.
Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua mafunzo ya Uandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura kwa Maafisa Waandikishaji wasaidizi ambayo yamefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Tandahimba.
“Ni matumaini yangu kuwa semina ya mafunzo haya yatasaidia kuwapa elimu ya kutosha itakayomwezesha kila mmoja kutekeleza wajibu wake katika kata yake husika
Naye mwezeshaji wa mafunzo hayo ya Daftari la kudumu la wapiga kura, George Kashura aliwataka washiriki hao kuwa makini katika utekelezaji wa uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35oqKjA
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









