Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Jengo la Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali hiyo Dkt. Tamim Hamad Said, jana Januari 09,2020, ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia Viongozi na Wananchi kwenye sherehe ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa Katika picha ya pamoja na Viongozi na Watendaji wa Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2R2Hp71
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












