Baba Majaliwa Afunguka na kusema “Hela Alizopata Mwanangu ni Bora Mimi na Mama yake Tungeshirikiana Tumtunzie”

Admin Updates2 years ago6 Views

 

Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia – Baba Majaliwa
“Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya familia” – Jackson Majaliwa ameimbia Clouds FM
Kuhusu zawadi alizopewa kijana wao huyo kwa kuvunja mlango kuokoa waliotumbukia na ndege ziwa Victoria, amesema
“Anachokipata tungeshirikiana mimi na familia kama ni kuiweka pesa yake aikute wakati anaendela kukua , tutaangalia kipi tumuhifadhie kwa sababu bado ana wadogo zake na sisi wazazi wake maisha yetu ni ya kawaida sana
“kikubwa tungemuwekea yeye kidogo tungeona namna ya kuwasaidia wadogo zake maana kinachoingia katika familia ni kwa ajili ya familia” – Baba mzazi wa Majaliwa akiongea na Clouds FM

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.