Malaika Village iliyopo kilomita mbili tu kutoka njiapanda ya Chamwino na mita chache mkabala na makao makuu ya JKT tayari imevunha rekodi ya kuwa eneo pekee linalokuwa na ndege urembo wanaofugwa majumbani mfano Njiwa,Kuku,Kanga na wengine ambao pamoja na kuwa kivutio kwa watu mbalimbali wanaofika eneo hilo lakini bado wanatumika kama aina mojawapo ya vyakula vinavyopatikana eneo hilo.
Wakiongea baadhi ya wateja waliopata huduma katika eneo hilo la burudani bwana Juma Mzee mkazi wa Area D dodoma amesema…Hakika kwa sisi wakazi wa Dodoma tunathubutu kusema hapa malaika village kwa sasa ndio habari ya mjini, mimi na familia napenda kuja hapa mara nyingi weekend kwa sababu kuna Swimming Pool kwa ajili ya watoto ana watu wazima,kuna mandhari tulivu sana hata kama una shughuli zako unafanyia hapa bila kelele na hata makazini tukiwa na vikao tunafanyia hapa.
Malaika Village unaweza kuwasiliana nao kwa namba 0746 727 662 kwa ajili ya kuweka nafasi yako ya malazi,vyakula au maulizo iwe uko dodoma au unategemea kutembelea jijini dodoma.