Rais Samia kuwapa Taifa Stars Bilioni 1
Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono ya fedha taslimu Shilingi Bilioni 1 iwapo timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars watafanikiwa kutwaa Ubingwa wa CHAN 2024.
Mashindano hayo ambayo yanafanyika mwaka huu kwa pamoja katika mataifa matatu ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ametoa ahadi ya kitita cha fesha Shilingi Billioni 1 endapo timu hiyo itatwaa ubingwa huo wa CHAN 2024.
“Katika kuchagiza hamasa kwa timu yetu ya Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono Shilingi Bilioni 1 kwa vijana wetu wa Taifa Stars wakifanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano haya ya CHAN 2024” amesema Waziri Kabudi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






