FRENCH MONTANA AMZAWADIA JEEP KOURTNEY KARDASHIAN

Admin Updates10 years ago7 Views



French na Khloe full happy


Baada ya kutimiza miaka 30 tangu kuzaliwa kwake KourtneyKardashiana aka
Khloe na sherehe iliyofanyika katika mgahawa Don COQUI uliyopo juu ya mji Island.
Katika
siku ya kuzaliwa kwa Khloe kuliudhuliwa na mastaa mbalimbali kama
P.Didy, French Montana, Familia ya Kardashiana akiwa dada yake Kim nk.

Muda ulipofika French Montana akamkabidhi Khloe gari aina ya Wrangler Sahara Jeep yenye thamani ya $ 49,372 na kwa mujibu wa TMZ, pamoja na baadhi ya zawadi kama pete ya dhahabu $ 25,000 18K na emiradi Colombia na njano canary almasi kama vizuri kama grills mbili za shingoni zenye thamani ya $ 10,000.


 



                                                                                                       
Kardashian famili ndani ya mjengo



Kourtney







Family ya Kardashiana’s


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...