- Home
-
- VITUKO VYA MASTAA:ANGALIA MSANII RIHANNA HUYU HAPA NAYE NI SHIDAAAH
VITUKO VYA MASTAA:ANGALIA MSANII RIHANNA HUYU HAPA NAYE NI SHIDAAAH
Baada ya kutoonekana kwenye istagram kwa muda mrefu rihanna amerudi insta nakupost kikatuni hiki.
Wakati huohuo pia ameweka hisia zake wazi tena kwenye mahusiano na kusema kuwa anafuraha sana kuwa single na kutokuwa na mpenzi.
Rihanna alikuwa na mahusiano na chriss brown na kuachana.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News