HEBU CHEKI PICHA ZA MPENZI MPYA WA RAPPER RICK ROSS ALIVYO MZURI ZIKO ..NI NOUMEEER

Admin Updates10 years ago4 Views

  RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE
Mapenzi
dunia hii ni kitu ambacho hakiwezi kukwepeka iwe tajiri maskini hata
kiwete lazima mapenzi uwe nayo au yakufikie na ndani yake misukosuko ya
kuachana na kuumizwa ipo, Rapper Rick Ross ameonekana na kifaa kipya
ambaye anajulikana kwa jina Ming Lee. Ming ambaye ni mbunifu wa nywele
kutoka Atlanta, ambapo walionekana katika moja ya event iliyofanyika
Altanta akiwa na mpenzi wake Ming Lee ambaye jina lake ni Elida
anaonekana mwenye furaha sana baada ya kuwa na mahusiano na rapper huyo
ambaye week zilizopita aliachana na mpenzi wake hivo Ming Lee amekuwa
tiba tosha kwa rapper huyo kwa kumtuliza kimawazo


Hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa pamoja enjoy

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 



RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.