HIVI NDIVYO MSANII SHILOLE ALIVYOVISHWA PETE YA UCHUMBA KWENYE BIRTHDAY YAKE

11 years ago123 Views




Kwenye
list ya mastaa wa Bongo Flevs walio katika uhusiana ya kimapenzi basi
lazima couple hii uhusishe ambayo Dec 20 imeingia katika hatua ya juu
baada ya Nuh Mziwanda kumvisha pete ya uchumba Zuwena Mohamed aka
Shilole.


Tukio
hilo special  la wapenzi hao wawili lilifanyika usiku wa kushereherekea
siku ya kuzaliwa kwa msanii wa Bongo Fleva Shilole ambaye aliwaalika
ndugu,jamaa na marafiki mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake.



















0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.