Mrembo wa Ukweli na Blogger Maarufu Sintah Amecharuka na kutoa makavu
kwa shabiki mmoja aliendika kwenye instagram kuwa Sintah anajipendekeza
kwa Wanawake wa Diamond…
Shabiki anayeitwa Rahma_Rahyuuh Alifunguka Hivi:
“Ila we Sinta una Dhambi sana–yan Hakuna Mwanamke wa Diamond Baada
ya Wema Ambae hukuwa ukijipendekeza nae ‘ we mwanamke unajua na haya
hayana mmoja! Mungu tunaemuabudu ni mmoja na @wemasepetu nae mtu !
Ohhoo–Muumuze tu lakini aibu itakurudia mwenyewe“
Sintah Naye Akafunguka Hivi:
“Huyo Mungu unaemjua mshitakie mabaya yangu uone kama atajibu coz
anajua whats going on, siwezi nikaelezea vitu vingine but my close pipo
know so go ahead n curse….kwahio urafiki wangu na Zari unaingilianaje
na huyo Wema??please ongea vitu vya maana na mwisho leo kuweka huu upupu
hapa, maisha ya zari ni ya kwake naomba nieleweke mimi ni rafiki tu i
can advise ila siwezi ku control maisha yake
Kuna watu hawawezi kumaliza siku bila kunitaja jina langu tena kwa
herufi kubwa bila hata aibu , sasa mimi ninajipendekeza kwa wanawake wa
Diamond wanisaidie nini kwa mfano? wao wana nini na mimi nina nini?
Narudia tena mie ni blogger n aweka kila jambo linalo husu mastaa, na
huyo Zari mie nimemjua leo?? angalia calender yako vizuri labda
unatumia za Ethiopia kuwa updated isitoshe labda wewe ndio unamuona zari
ni malkia wako to me ni kawaida sana coz she is bin a friend ever since
sio yeye tu familia yake nzima
halafu siwezi kumchagulia mtu maisha yeye kama anaamua kuwa Dimondo
awe shemeji yangu kila la kheri kama ni Ivan sawaa yeye ndio anajua yupi
mzuri kwake mimi sivai viatu vyake kujua maumivu gani anayapata ” Sinta
Je wewe Msomaji Una Maoni Gani Kuhusu Hilo?
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







