PENZI LA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIPO WAZI, WAPIGA PICHA WAKIWA BAFUNI USIKU.

Admin Updates10 years ago8 Views


Ukiona
manyoa?!!! Hatimaye zile tetesi na hisia za kwamba mwaigizaji Wema
Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye mahusiano ya
kimapenzi zime kuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 99, hii kutona na picha
waliopiga jana usiku wakiwa bafuni huku wema akiwa amevalia taulo “flan
amazing” huku kijana Ommy akionekana kwa mbaliii kama ananawa mikono.


Picha
hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema
kindakindaki..kwani comments na likes zilivyo tiririka utazana picha
imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wamamane.


Haya jamani sisi tunawatakia kila la kheri, kwani wengi wamesema hii ni couple flan amazing….

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.