Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan ameonekana
kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo
alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo
alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.

Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao
hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya
Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae
alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye picha hapo juu.

Kitendo hicho kikamfanya mwanamama Zari kuamua kujibu wa maneno “Astagafululah…..sometimes we have to wish people good ….this is too much”
Maneno ambayo yalionyesha ukomavu na busara ya hali ya juu alionayo mwanamama huyu kwenye maswala ya mahusiano na maisha.
Hivi jamani ukiacha na mpenzi wako hauwezi kumtakia mazuri kwenye maisha yake?
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33