![]() |
| Meninah |
Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza
kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva
amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies ,
Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.
Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji
Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na
uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa
namna moja au nyingine.
“Ningekuwa na uwezo ningewapatatinisha Wema na Kajala kwasababu wote nawapenda”-Meninah alijibu
Wema na Kajala walikuwa marafiki wa karibu lakini urafiki wao ulivunjika na kwasasa sio marafiki tena.
Hakika wengi tunapenda wawili hawa waelewane na urafiki wao urudi, wewe je?
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







