
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.
Aunt Ezekiel na Wema Sepetu nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa urafiki wao umeyumba baada ya kusemekana Aunt aliipigia promo show ya Zari All White Party iliyofanyka siku ya mei mosi.
Kitendo cha Kajala kuhudhulia kwenye Baby Shower ya Aunt kamezidisha minong’ono ya chini kwa chini kuwa inawezekan ikawa kweli kuwa hausinao ya Aunt na Wema yameyumba kwani Kajala na Wema kwa muda sasa wamekuwa hawapo sawa.
Hongera sana Kajala na Aunty kwa kuonyesha upendo.
Mzee wa Ubuyu
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






