1. KILA
siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri.
Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri
anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye.
2.
Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze
hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia
zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu
katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda.
Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako.
3.
Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye
kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara
kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye
karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali
4. Tambua
mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika
kuwa pale kwa ajili yake na ukimpooza kwa sauti ya upole na mahaba.
Utashangazwa sana na kiasi gani msaada huo umeleta mabadiliko kwake.
Hakikisha unamsaidia katika shida zake hapa ndipo kuna tatizo kwa
wavulana wengi. Mapenzi si pesa lakini kuna kipindi ambacho pesa
huitajika kulinda penzi lako. Si msichana anapokuomba pesa ina maana ana
nia ya kukuchuna au amekupendea pesa kuna shida nyingine inabidi
akuombe wewe tena kwa kukupima kama utakuwa tayari kumsaidia.
5.
Mchukue mpenzi wako out mara nyingine itamfanya ajisikie furaha sana kwa
sababu wasichana hupenda enjoyment na boyfriend zao. Hii haitamfanya
mpenzi wako tu kuwa na furaha bali itawafanya nyie kwa pamoja kujuana na
kufahamiana zaidi.
6. Kuwa muwazi kwake usimfiche jambo
linalokuhusu. Msichana hupenda kutoa ushauri kwa mtu ampendaye hivyo
unapokuwa muwazi atajisikia kuthaminiwa nawe na kukuona umemuamini
7.
Ukijiona upo busy sana usithubutu kuacha japo kumpigia simu mara mbili
kwa siku hata kama ukishindwa kumpigia wakati upo ofisini darasani au
kwingineko hakikisha unapopata nafasi japo ujumbe mfupi wa kumwambia
unampenda.
8. Mkumbatie mara kwa mara katika tukio la kumbatizi
kuna jambo kubwa sana hutokea. Si kwake tu hata kwako mvulana. Hali ya
joto lenu huwaweka pamoja kifikra hata pale msipokuwa pamoja.
9.
Epuka maugomvi na hasira za mara kwa mara ukiwa nae. Mwanamke hupenda
ustaarabu kwa mtu ambaye yupo serious naye hivyo ukionesha hasira kabla
hata hujamtongoza unaweza ukamkosa msichana hivihivi wasichana huwaogopa
wavulana wenye hasira na wagomvi kwa sababu hupenda kubembelezwa.
10.
Mdekeze. Msichana anapenda kudeka anaenda kudeka sana na kubembelezwa
sana hivyo mvulana ukidekewa usikasirike eti huyu msichana kazidi wewe
ndio wakati wako wa kumuonesha msuchana wako unampenda mdekeze mpaka
aone aibu kudeka siku nyingine. Wasichana wameumbwa kwa jili ya wavulana
ndio maana hudeka hii ndiyo silaha pekee na ya mwisho kumpata msichana
hata kamasi wako ni wa rafiki yako unaw






































