MUME WA MTU SIYO MAZIWA BALI NI SUMU..SHUHUDIA KILICHO MSIBU MWANAMKE HUYU NUSURA AUAWE!!!

10 years ago103 Views

Hekaheka ya leo inatokea Shinyanga inahusu mwanamke aliyepigwa na jiwe na kujeruhiwa shingoni kwa kutuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mume wa mtu.
Mwanamke huyo amesema kuwa alitoka kumsindikiza mgeni wake wakati anarudi akapata lift ya pikipiki lakini ghafla alishangaa kupigwa jiwe na watu anaowafahamu ambao ni mtu na mke wake.
Mwanamke huyo amesema baada ya kupigwa walisimama ili kuwauliza kwa nini wampige jiwe lakini waliwakimbia, wakaenda mpaka nyumbani kwa watu hao, lakini hakuweza kuongea nao kwa kuwa walijifungia mlango ndani.


Mwanamke anayetuhumiwa kumpiga jiwe amesema sio kweli kwamba alimpiga jiwe mwanamke huyo na wala hakuwepo kwenye ugomvi huo kwa kuwa yeye alikuwa amelala hivyo hajui chochote.
Mmoja ya mashuhuda wa tukio hilo wanasema ni kweli waliomuona mwanaume na mke wake waliorusha mawe na baada ya kurusha mawe hayo walikimbia kwenda kujifungia ndani ya nyumba yao

  

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.