MAPENZI:KANIPA DEADLINE EITHER NIKAJITAMBULISHE KWAO AU TUACHANE..NIFANYEJE?

Admin Updates9 years ago6 Views


Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu
na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa
baadae.
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami
nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa
ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji
niende kwao Marangu kabla ya tar 25 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.
Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa
deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love
wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu
maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli.

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.