1.We MUONGO
Mwanamke kuwa muongo katika mapenzi ni kitu kibaya sana kinachosababisha wanaume wengi kupoteza
imani naye kuweza kuishi naye kimaisha katika maisha yao yote.
2.MBINAFSI
Mwanamke hapaswi kuwa mbinafsi katika
maisha ,waweza kuta mwanamke kila pesa ipatikanayo ye huanza kuipangia
bajeti kwa vitu vyake binafsi visivyo na faida kwa wote,kwa mfano kuwaza
kununua nguo mpya ,vipodozi n.k,pia mwanamke kupenda familia ya upande
na kuichukia familia ya upande wa mwanaume pia huo ni ubinafsi unao
chochea kuto olewa.

3.MALAYA
mwanamke malaya siku zote wanaume ni
vigumu kumuoa kwani wanajua hawezi kuishi naye kwa uaminifu kutokana na
tabia yake hiyo mbaya,hivyo ataishia kuchezewa na mwisho wa siku
ataachwa kwenye mataa
vigumu kumuoa kwani wanajua hawezi kuishi naye kwa uaminifu kutokana na
tabia yake hiyo mbaya,hivyo ataishia kuchezewa na mwisho wa siku
ataachwa kwenye mataa
4.HUNA FIKRA PEVU
Mwanamke asiyekua na fikira ktk
mahusiano ni vigumu kuolewa kwani utakuta ye kila kitu humtegemea
mwanaume atoe maamuzi wakati dunia ya sasa yapaswa wote kushirikiana
katika maamuzi
mahusiano ni vigumu kuolewa kwani utakuta ye kila kitu humtegemea
mwanaume atoe maamuzi wakati dunia ya sasa yapaswa wote kushirikiana
katika maamuzi
5.KUMPENDA MTU USIE ENDANA NAYE
hakikisha
umpendae mnaendana naye kuliko kumpenda mwanaume kwa ulazimu bila
kuendana naye,waweza kuwa umempenda sababu ya pesa,au umempenda sababu
ya u staa wake ,mwishowe ye atakuchezea na kukuacha ukishangaa.
umpendae mnaendana naye kuliko kumpenda mwanaume kwa ulazimu bila
kuendana naye,waweza kuwa umempenda sababu ya pesa,au umempenda sababu
ya u staa wake ,mwishowe ye atakuchezea na kukuacha ukishangaa.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33