AFUMANIWA GESTI AKIFANYA MAPENZI NA MUME WA DADA YAKE

Admin Updates9 years ago6 Views

Biena akijificha baada ya fumanizi hilo.
Chanzo makini kilichokuwa eneo la tukio kilieleza kuwa, Biena na mume wa dada yake aitwaye Abasi wamekuwa na uhusiano kwa muda mrefu kabla ya juzikati kunaswa laivu wakiwa gesti.“Beina anaishi na dada yake aitwaye mama Saida, amekuwa akimzunguka kwa kutembea na shemeji yake hadi sisi majirani tukakereka.
“Sasa siku ya tukio mama Saida ambaye ni mjamzito alikuwa kalala, tukamuona Abasi na Biena wakielekea gesti. Uzalendo ukatushinda, tukaona tumsaidie dada wa watu kuwafumania.“Tukaenda hadi kwenye ile gesti, tukawafumania wakiwa ndani, Abasi akaingia mitini mpaka leo hajulikani aliko, Beina akatoka na kukimbilia nyumbani kwa dada yake,” alisema mtoa habari huyo.

Akilia.
Mama mwenye nyumba aliyejitambulisha kwa jina la mama Farida alisema ni kweli binti huyo alikuwa akitembea na shemeji yake na majirani walichoshwa na hilo ndiyo wakaamua kumtolea uvivu. Biena alipobanwa alikiri kufumaniwa lakini akadai aliponzwa na tamaa ya chipsi kuku, akaomba msamaha kabla ya kurejeshwa kwao Tunduma. 
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.